Kizhuang ya Nong ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina inayozungumzwa na Wazhuang. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kizhuang ya Nong imehesabiwa kuwa watu laki tano. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kizhuang ya Nong iko katika kundi la Kitai ya Kati.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kizhuang cha Nong kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.