Kizhuang cha Youjiang

Kizhuang ya Youjiang ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina inayozungumzwa na Wazhuang. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kizhuang ya Youjiang imehesabiwa kuwa watu 870,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kizhuang ya Youjiang iko katika kundi la Kitai ya Kaskazini.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kizhuang cha Youjiang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.