Klabu ya Kriketi Nakuru

Klabu ya Kriketi Nakuru ni klabu ya michezo iliyoko Nakuru nchini Kenya. Klabu hiyo pia ina timu ya kriketi inayocheza kwenye ligi ya kriketi Rift Valley cricket league, Klabu hiyo huandaa michezo mingi ya kriketi kwa kushirikiana na shirika la Rift Valley Cricket Association XI la nchini Uingereza.

klabu ya kriket Nakurue


Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Klabu ya Kriketi Nakuru kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.