Koa ni kombe la moluski kama vile konokono, chaza na abaloni.