Kodi ya IATA ni kodi ya herufi tatu kwa ajili ya kila uwanja wa ndege duniani. Namba hii inatolewa na shirika la kimataifa la IATA.