Kokomma ni filamu ya Nigeria ya mwaka 2012 iliyoongozwa na Tom Robson. Nyota wake ni Belinda Effah, Ini Ikpe na Ekere Nkanga.[1] ilishiriki mara tatu katika tuzo za 9th Africa Movie Academy Awards, na Effah alishinda tuzo ya Africa Movie Academy Award [2] ilitoka katika mfumo wa DVD mnamo September 2012.[3]

Wahusika hariri

Marejeo hariri

  1. "Kokomma". Nollywood Reinvented. nollywoodreinvented.com. Iliwekwa mnamo 8 November 2014.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-08-01. Iliwekwa mnamo 2020-03-30. 
  3. "Kokomma hits the shelves". The Punch. punchng.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 8 November 2014. Iliwekwa mnamo 8 November 2014.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kokomma kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.