Kola Modupe Adams (alizaliwa 18 Novemba 1980 nchini Nigeria) ni mwanasoka mstaafu wa Nigeria.

Kazi hariri

Baada ya kuichezea klabu ya Clermont Foot huko Ufaransa , Adams alisajiliwa na klabu ya Shanghai SIPG katika ligi kuu ya Uchina, ambako alikaa kwa misimu michache.

Marejeo hariri

Viungo Vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kola Adams kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.