Kolibri
Kolibri kidevu-cheusi, Archilochus alexandri
Kolibri kidevu-cheusi, Archilochus alexandri
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Nusungeli: Neornithes
Ngeli ya chini: Neognathae
Oda: Apodiformes (Ndege kama teleka)
Familia: Trochilidae (Ndege walio na mnasaba na kolibri)
Ngazi za chini

Nusufamilia 2:

Kolibri (kutoka Kitaino: kolibrí, kupitia Kijerumani: kolibri) ni ndege wadogo wazuri wa familia Trochilidae ambao wanatokea Amerika tu. Wako miongoni mwa ndege wadogo kabisa. Wengi wana urefu kati ya sm 7.5 na 13, lakini ndege mdogo kabisa duniani, kolibri-nyuki, ana urefu wa sm 5 tu. Ndege hawa wanaweza kuangama hewani wakipapatika mabawa yao mara 12-80 kwa sekunde. Hii inatoa sauti ya uvumi (Kiing. "humming", kwa hivyo jina lao la hummingbird).

Spishi

hariri

Phaetornithinae

Trochilinae

Picha

hariri
  Makala hii kuhusu ndege fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kolibri kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.