Kolomna (Kirusi: Kolomna) ni mji wa Urusi. Ina wakazi 148,000. Iko katika mkoa wa Moscow Oblast.

Mahali pa Kolomna
Kitovu cha mji wa Kolomna
Kolomna 04-2014 img34 Kremlin.jpg

JiografiaEdit

Iko katika sehemu ya kiulaya ya Urusi km 110 kusini ya Moscow kwa 55°05'N na 38°47'E pale ambako mito ya Moskva na Okra inakutana.

HistoriaEdit

Mji ulianzishwa mwaka mnamo 1177.

UchumiEdit

Mji umejulikana nchini Urusi kwa sababuya kiwanda kikubwa cha injini za reli.

  Makala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kolomna kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.