Kombe (kwa Kiingereza: trophy) ni tuzo ya ushindi katika mashindano, kama vile kombe la dunia au kombe la mshindi. Linafanana na kikombe kinachotumika kwa kunywa maji au vinywaji vingine, mara nyingi kikiwa na umbo la kuzungushwa, kipana juu na kupungua chini, lakini ni kubwa na la thamani kubwa zaidi.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kombe kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.