Kongo (Kinshasa)
Kongo (Kinshasa) ni kifupi cha kutaja nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yenye mji mkuu wa Kinshasa. Jina limeundwa kwa nia ya kuwa na jina fupi tena la kutofautisha na Kongo nyingine yaani Jamhuri ya Kongo au Kongo (Brazzaville).