Konoe wa Japani

(Elekezwa kutoka Konoe)

Konoe (16 Juni, 113922 Agosti, 1155) alikuwa mfalme mkuu wa 76 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Narihito, na alikuwa mwana wa nane wa Tenno Toba. Mwaka wa 1142 alimfuata kaka yake, Tenno Sutoku, na kuwa mfalme hadi kifo chake mwaka wa 1155. Aliyemfuata kama Tenno ni mdogo wake Go-Shirakawa.

Angalia pia hariri

  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Konoe wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.