Konomi Taniguchi
Konomi Taniguchi (alizaliwa 23 Agosti 1996) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Sanfrecce Hiroshima Regina inayoshiriki ligi ya wanawake ya WE League.[1][2]
Marejeo
hariri- ↑ "Scoresheet" (PDF). weleague.jp.
- ↑ "Konomi Taniguchi".
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Konomi Taniguchi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |