Korongo

ni ndege wenye shingo ndefu na miguu mirefu na hunyoosha shingo na miguu wakiruka angani. Yangeyange na makoikoi hupinda shingo yao wakiruka angani

Kwa maana tofauti ya neno hilo tazama Korongo (maana)

Korongo mweupe akiruka - shingo imenyoosheka
Msuka (koikoi mweupe) akiruka - shingo imepindika

Korongo ni ndege wenye shingo ndefu na miguu mirefu na hunyoosha shingo na miguu wakiruka angani. Yangeyange na makoikoi hupinda shingo yao wakiruka angani.

Jina hili hutumika kwa jamii mbili ya ndege:

Korongo tumbo-jeusi wakiruka - shingo zimenyoosheka