Krasnoyarsk

(Elekezwa kutoka Krasnojarsk)

Krasnoyarsk (Kirusi: Красноярск) ni mji wa Urusi. Ina wakazi 909.341. Iko katika mkoa wa Krasnoyarsk Krai.

Krasnoyarsk

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Krasnoyarsk kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.