Kristanna Sommer Loken au Kristanna Sommer Løken (amezaliwa tar. 8 Oktoba,1979) ni mwigizaji wa filamu na tamthilia-mwanamitindo wa zamani wa Kimarekani. Huenda akawa anafahamika kama T-X (adui mkuu) kutoka katika filamu ya Terminator 3: Rise of the Machines aliyocheza na nyota Arnold Schwarzenegger, na vilevile Rayne kutoka katika filamu ya BloodRayne aliyocheza nyota Michael Madsen.

Kristanna Loken

Amezaliwa Kristanna Sommer Loken
Kazi yake Mwigizaji
Miaka ya kazi 1994 - hadi leo
Tovuti rasmi

Wasifu hariri

Maisha ya awali hariri

Loken alizaliwa mjini Ghent, New York, ni binti wa Rande, ambaye ni mwanamitindo, na Merlin "Chris" Loken, mtunzi wa hadithi na mlimaji wa matunda ya tufaa. Asili ya ukoo wa Loken walikuwa wazawa wa Norway na baadaye kuhamia Marekani. Vilevile Loken anaasili ya Ujerumani. Alikulia katika maisha ya pamoja na wazazi wake wote, na wazazi wake walikuwa wakulima wa matunda. Pia ana dada yake aitwae Tanya.

Marejeo hariri

  1. http://www.filmreference.com/film/74/Kristanna-Loken.html
  2. https://web.archive.org/web/20080318235221/http://www.accessmylibrary.com/coms2/summary_0286-15274252_ITM
  3. http://www.terminatorfiles.com/news/2003/2003-03-26-a.htm
  4. http://www.scifi.com/sfw/interviews/sfw12412.html Archived 17 Juni 2006 at the Wayback Machine.
  5. http://www.mirror.co.uk/archive/2003/10/13/pink-s-lips-stick-89520-13508002/ Archived 5 Desemba 2008 at the Wayback Machine.
  6. http://www.imdb.com/name/nm0518085/
  7. http://www.soapcentral.com/atwt/whoswho/danielle.php
  8. http://www.curvemag.com/Detailed/703.html Archived 6 Mei 2006 at the Wayback Machine.
  9. http://www.thesun.co.uk/article/0,,5-2003511726,00.html Archived 2 Machi 2007 at the Wayback Machine.
  10. http://www.advocate.com/exclusive_detail_ektid39431.asp

Filamu alizoigiza hariri

  • Mortal Kombat Conquest (1998) (kama Taja)
  • Terminator 3: Rise of the Machines (2003) kama T-X
  • Ring of the Nibelungs (2004) kama Brunhild
  • BloodRayne (2006) kama Rayne
  • The L Word (2007) kama Paige Sobel
  • Painkiller Jane (2007) kama Jane Vkamaco / Painkiller Jane
  • In the Name of the King (2008) kama Elora

Viungo vya nje hariri

(Official)

Mahojiano hariri