Kuku paka
Kuku wakupaka ni kuku aliepakwa viungo na kukangwa[1] na pia huitwa “kuku wakupaka”. kina athari za Kiarabu, Kihindi na Kiafrika. Chicken kwa Kiswahili inamaanisha kuku.[2] [3] Chakula hiki ni maarufu sana katika pwani ya Afrika Mashariki na miongoni mwa jumuiya za Wahindi wanaoishi Kenya, Tanzania na Uganda.smear kwa kiswahili inamaanisha kupaka.
Marejeo
hariri- ↑ http://www.food.com/recipe/kuku-paka-kenyan-chicken-curry-456503
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-02. Iliwekwa mnamo 2022-06-13.
- ↑ https://onthegas.org/food/rubbery-chicken
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |