Kulungu
ukarasa wa maana wa Wikimedia
Kulungu ni neno la kiswahili na linaweza kumaanisha:
- Kulungu (Bovidae) ni jina la wanyama wa Afrika. Dume wa spishi hii wana pembe.
- Kulungu (Cervidae) ni jina la kawaida kwa wanyama wa Ulaya, Asia au Amerika wanaofanana na kulungu wa Afrika.