Kumi na moja ni namba inayoandikwa 11 kwa tarakimu za kawaida na XI kwa zile za Kirumi. Inafuata 10 na kutangulia 12.

11 ni namba tasa.


Tanbihi

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kumi na moja kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.