Kumi na nne (pia: arubatashara, kutoka Kiarabu) ni namba inayoandikwa 14 kwa tarakimu za kawaida na XIV kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 13 na kutangulia 15.

Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 7.

Matumizi hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kumi na nne kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.