Kuopio ni mji wa Ufini wenye wakazi 120.000.

Kuopio kutoka juu.

Elimu hariri

Kuna chuo kikuu kimoja huko Kuopio.

Picha hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Ufini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kuopio kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.