Kupakua (tarakilishi)

Katika tarakilishi mtandaoni, kupakua (kwa Kiingereza : "to download") ni kupokea data toka seva au tarakilishi nyingine. Kwa kawaida watu wanaipakua jalada.

Kielezi cha pakua.

Marejeo

  • Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.