Kurt Wüthrich
(Elekezwa kutoka Kurt Wuthrich)
Kurt Wüthrich (amezaliwa 4 Oktoba 1938) ni mwanakemia kutoka nchi ya Uswisi. Hasa anajulikana kwa kuchunguza aina fulani ya spektroskopia. Mwaka wa 2002, pamoja na John Fenn na Koichi Tanaka alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kurt Wüthrich kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |