Kuzingirwa kwa Maiozamalcha
Kuzingirwa kwa Maiozamalcha (au Maogamalcha) mwaka 363 BK, jeshi la Dola la Roma chini ya Kaisari Juliani Mwasi liliuvamia, kuupora, na kuuharibu mji wa Maiozamalcha, kabla ya kuendelea kuelekea mji mkuu wa Milki ya Wasasani, Ctesiphon.[1][2]
Marejeo
hariri- ↑ Jaques, Tony (2006-11-30). Dictionary of Battles and Sieges: A Guide to 8,500 Battles from Antiquity Through the Twenty-first Century [3 Volumes] (kwa Kiingereza). Bloomsbury Academic. ISBN 978-0-313-33536-5.
- ↑ "Ammianus Marcellinus", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2024-06-15, iliwekwa mnamo 2024-06-16
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kuzingirwa kwa Maiozamalcha kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |