Kwiteria (labda Braga, Ureno, karne ya 5 - Aire-sur-l'Adour, Ufaransa, karne ya 5) alikuwa bikira Mkristo ambaye heshima ya watu kwake kama mtakatifu na pengine mfiadini ni ya zamani sana[1].

Mt. Kwiteria alivyochorwa huko Brazil.

Sikukuu yake huadhimishwa kila mwaka tarehe 22 Mei[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.