L'Aube nouvelle

wimbo wa taifa wa Benin

L'Aube Nouvelle ("Mapambazuko Mapya") ni wimbo wa taifa wa Benin. Ulioandikwa na kutungwa na Padre Gilbert Jean Dagnon, ulipitishwa kuwa wimbo wa taifa baada ya uhuru wa Jamhuri ya Dahomey kutoka kwa Wafaransa mnamo mwaka 1960.[1]

Baada ya Dahomey kuwa Jamhuri ya watu wa Benin mnamo 1975, wimbo huo ulihifadhiwa, lakini maneno kama Dahomey na Dahoméen yailibadilishwa kuwa Bénin na Béninois . [2]

Marejeo hariri

  1. Agency, Central Intelligence. The World Factbook (kwa Kiingereza). Masterlab. uk. 402. ISBN 9788379912131. 
  2. "L'Hymne National du Bénin". Présidence de la République du Bénin (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2021-12-31. 
  Makala hii kuhusu muziki wa Afrika bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu L'Aube nouvelle kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.