La Paz, Baja California Sur

La Paz (Kiswahili: Salama) ndiyo mji mkuu katika jimbo la Baja California Sur. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, mji una wakazi wapatao 189,176 wanaoishi katika mji huu.

Mji wa La Paz


La Paz
Nchi Mexiko
Jimbo Baja California Sur
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 189,176
Tovuti:  www.lapaz.gob.mx

Mji ulianzishwa na Sebastian Vizcaino mnamo 1596.

Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu La Paz, Baja California Sur kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.