Ladipoe

Mwanamuziki wa Nigeria, mtunzi wa nyimbo, rapper, na msanii wa kuigiza (1992-)

Ladipo Eso (anajulikana kama Ladipoe au Poe) ni rapa na mwanamuziki kutoka Nigeria.[1] Mnamo tarehe 28 Februari 2017, Ladipoe alitia saini mkataba wa rekodi na Mavin Records.

Ladipoe

[2]

Marejeo

hariri
  1. "LadiPoe: Private Life, Outspoken Music". guardian.ng. 26 Februari 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "The ladies love the young rapper, LadiPoe". Pulse Nigeria. 5 Februari 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ladipoe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.