Lady Marion Chesham

Mwanasiasa wa Tanzania

Marion Caher Donoghue, Lady Chesham (1903-1973), alikuwa mtu mashuhuri katika siasa za Tanzania miaka ya 1950 na 1960 kabla ya kustaafu mwaka wa 1972.[1]

Marejeo

hariri
  1. "Chesham, Lady, Marion, 1903-1973 - Borthwick Catalogue". borthcat.york.ac.uk (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-04-28.