Lamecha Girma (alizaliwa 26 Novemba 2000) ni mwanariadha wa Ethiopia ambaye ni mtaalamu wa mbio za mita 3000 za kuruka viunzi.[1] Akiwakilisha Ethiopia katika Mashindano ya Riadha ya Dunia ya 2019, alishindana katika mbio za mita 3000 kuruka viunzi na maji kwa wanaume ambapo alishinda medali ya fedha, na kuweka rekodi mpya ya kitaifa ya Ethiopia ya saa 8:01.36.[2] Katika Olimpiki ya Majira ya joto 2020, Girma alishinda medali ya fedha kwa muda wa 8:07.81.

Lamecha Girma
Lamecha Girma

Marejeo hariri

  1. "Lamecha GIRMA | Profile | World Athletics". www.worldathletics.org. Iliwekwa mnamo 2021-11-01. 
  2. "IAA Doha 2019.". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-10-26. Iliwekwa mnamo 2021-11-01.