Landelini wa Ettenheim

Landelini wa Ettenheim (alifariki Ettenheim, Baden-Württemberg, katika Ujerumani wa leo, 640 hivi) alikuwa Mkristo mkaapweke wa Ireland aliyehamia Ulaya bara hadi alipouawa kwa kudhaniwa jambazi[1].

Panapotunzwa masalia yake (1506).

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 21 Septemba[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.