Lango:Historia/Makala iliyochaguliwa

Mashauri hariri

Makala iliyochaguliwa 1 hariri

Lango:Historia/Makala iliyochaguliwa/1 Lango:Historia/Makala iliyochaguliwa/1

Makala iliyochaguliwa 2 hariri

Lango:Historia/Makala iliyochaguliwa/2 Lango:Historia/Makala iliyochaguliwa/2

Makala iliyochaguliwa 3 hariri

Lango:Historia/Makala iliyochaguliwa/3 Lango:Historia/Makala iliyochaguliwa/3

Makala iliyochaguliwa 4 hariri

Lango:Historia/Makala iliyochaguliwa/4 Lango:Historia/Makala iliyochaguliwa/4

Makala iliyochaguliwa 5 hariri

Lango:Historia/Makala iliyochaguliwa/5 Lango:Historia/Makala iliyochaguliwa/5

Jalada hariri

2009 hariri

Lango:Historia/Makala iliochaguliwa/Juni 2009

 
Alama ya SS zilikuwa S mbili kwa mwandiko wa Kigermanik

Schutzstaffel (Kikosi cha ulinzi) -kwa kifupi SS- ilikuwa jina la kitengo cha Chama cha Nazi au NSDAP nchini Ujerumani kilichoanzishwa mwaka 1925kama kundi la walinzi wa kiongozi wa chama cha Adolf Hitler. SS ilishiriki katika maangamizi makuu dhidi ya Wayahudi wa Ulaya na kutawala makambi ya mauti. Kutoka kundi dogo la walinzi wa binafsi iliendelea kuwa tawi la kijeshi la Chama cha Nazi lililoshiriki pia kwenye mapigano ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia. Ikapigwa marufuku kama chama cha kihaini mwaka 1945.

SS iliundwa kama kitengo cha wanamgambo wa NSDAP waliojulikana kama SA. Awali kazi ya wanamgambo 8 walioteuliwa ilikuwa kumlinda kiongozi wa chama cha Adolf Hitler kwenye maandamano na mikutano ya chama. Tangu 1929 iliongozwa na Heinrich Himmler. Wakati ule kikosi kilikuwa na wanachama 280. Himmler aliendelea kupanusha kikosi. Hadi mwisho wa 1929 alikuwa wanamgambo 1,000 chini yake waliongezeka kuwa 52,000 mwaka 1932.

2010 hariri