Jamii ni mkusanyiko wa makala kuhusu mada fulani kwenye wikipedia. Kila makala inapaswa kuunganishwa na jamii fulani. Mfumo wa jamii ni kama ufuatao. Hizi hapo chini ni jamii kuu. Ndani ya jamii kuu kuna jamii ndogo.