Lango:Tanzania/Picha nzuri/2

Mkuria
Mkuria

Mwanababa wa Kikuria akiwa katika sherehe ambazo mara nyingi hualikwa na watu wa Kenya - hasa mtu akiwa anatoka mbali. Wakuria, hapa walikuwa wageni waalikwa huko nchini Kenya.