Lanzhou (kwa Kichina: 兰州) ni mji wa China. Ndio mji mkuu wa jimbo la Gansu.

Mji wa Lanzhou








Lanzhou
Faili:Flag of .png
Bendera
Nchi China
Jimbo Gansu
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 3,310,100
Tovuti:  www.lz.gansu.gov.cn

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2008, kuna wakazi wapatao milioni 3.3 wanaoishi katika mji huu.

Makala hii kuhusu maeneo ya China bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Lanzhou kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.