Lapalala Game Reserve

Lapalala Game Reserve iko karibu na Ellisras, jimbo la Limpopo, Afrika Kusini, na ina eneo la takriban Hekta 35,000 Ha.[1]

Wanyamapori hariri

Inajumuisha Palahala, Korongo, tsessebe, Swala pala, Pofu na kudu, twiga, pundamilia na nyumbu, nyati na nguruwe wengi. Mito ina makundi makubwa ya viboko pamoja na mamba.

Angalia pia hariri

Marejeo hariri

  1. https://lepogolodges.com/lapalala