Laura Dundovic (amezaliwa Sydney, Australia, 16 Septemba 1986) ni mwigizaji, mwanamitindo na mshindi wa mashindano ya urembo kutoka Australia ambaye alishinda taji la Miss Universe Australia mwaka 2008 na aliwakilisha Australia katika mashindano ya Miss Universe' mwaka 2008, ambapo alifika katika kundi la kumi bora. Pia alishiriki katika toleo la Australia la I'm A Celebrity Get Me Out Of Here.[1][2][3][4]

Marejeo

hariri
  1. Wallace, Francesca (2016-10-11). "Laura Dundovic on how to work out like a model". Vogue Australia (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-07-03.
  2. Davies, Rebecca (2010-10-18). "Laura Dundovic to host new TV show". Digital Spy (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2021-07-03.
  3. "Laura Dundovic's insane 'upside down' bikini snap", 2021-05-10. (en) 
  4. Rocca, Jane (2019-10-12). "What I know about men with Laura Dundovic". The Sydney Morning Herald (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-07-03.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Laura Dundovic kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.