Laura Freigang (alizaliwa 1 Februari 1998) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Ujerumani ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya wanawake ya Eintracht Frankfurt na timu ya taifa ya Ujerumani.[1][2][3]

Laura Freigang

Marejeo hariri

  1. "TSV Schott angelt sich Sturmtalent", Sport aus Mainz, 27 June 2014. (de) 
  2. "Laura Freigang feiert A-Nationalmannschafts-Debüt", Schleswig-Holstein Football Association, 23 March 2020. (de) 
  3. "Laura Freigang". Penn State Nittany Lions. Iliwekwa mnamo 1 May 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Laura Freigang kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.