Lauryn Eagle

bondia kutoka Australia

Lauryn Eagle (amezaliwa 11 Desemba 1987) ni bondia wa kitaalamu kutoka Australia na bingwa wa kupiga ski kwenye maji.[1] Alikuwa mshiriki kwenye kipindi cha runinga ya uhalisia cha The Celebrity Apprentice Australia katika msimu wa 2.[2] na ni mshindi wa zamani wa taji la Miss Teen International Costa Rica mwaka 2004.[3]

Eagle mwaka 2010

Marejeo

hariri
  1. "Lauryn Eagle". The Daily Telegraph. Australia. 17 Julai 2012. Iliwekwa mnamo 23 Julai 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Lauryn Eagle on the behaviour and ego of Celebrity Apprentice co-contestant Tania Zaetta | Entertainment News Queensland". The Courier-Mail. 2 Mei 2012. Iliwekwa mnamo 23 Julai 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Duff, Eamonn. "Tragedy haunts family", 9 March 2008. Retrieved on 20 May 2013. 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lauryn Eagle kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.