Lava Kusha (filamu ya 2007)
(Elekezwa kutoka Lava kusha (Filamu ya 2007))
Lava Kusha ni filamu ya kimapenzi ya kihindi-kannada ya mwaka 2007 ilioongozwa na Om Sai Prakash na kuandikwa na Mohan Shankar. Nyota wa filamu Shiva Rajkumar na Upendra, wanashirikiana tena baada ya Preethse 2000 (Filamu yao nyingine). Nyota wengine Charmy Kaur, Jennifer Kotwal wakiwemo katika uhusika. Filamu ilitengenezwa na Prabhakar chini ya uzalishaji wa Vijaya Productions banner.
Filamu inahusisha marafiki wawili wa karibu sana ambao ni wadanganyifu. Mambo yaliopelekea wao kugawanyika na baadae kuamua kuwa pamoja tena.
Wahusika
hariri- Shiva Rajkumar kama Chinni
- Upendra kama Chakri
- Charmy Kaur kama Sinchana
- Jennifer Kotwal kama Sarah
- Hema Choudhary
- Sayaji Shinde
- Vinayak Joshi
- Girish Karnad
- Sumithra
- Tennis Krishna
- Satya Prakash
- Bank Janardhan
- Vaijanath Biradar
- Mandya Ramesh
- Bullet Prakash
- Sathyajith
- Joe Simon
- Mandeep Roy
- M. S. Umesh
Nyimbo
haririNyimbo za filamu za filamu zilibuniwa na Gurukiran.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lava Kusha (filamu ya 2007) kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |