Lawrence Eugene Brandt
Lawrence Eugene Brandt (alizaliwa 27 Machi 1939) ni mchungaji wa Kanisa Katoliki la Marekani.
Alikuwa Askofu wa Dayosisi ya Greensburg, Pennsylvania, kuanzia mwaka 2004 hadi 2015.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "Bishop Brandt - Roman Catholic Diocese of Greensburg". www.dioceseofgreensburg.org (kwa American English). 2023-03-24. Iliwekwa mnamo 2023-11-13.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |