Lawrence Mukasa
Lawrence Mukasa(alizaliwa tarehe 14 Machi 1957) ni askofu wa Kanisa Katoliki nchini Uganda, ambaye anahudumu kama Askofu wa Jimbo Katoliki la Kasana-Luweero, tangu tarehe 5 Agosti 2023. Aliteuliwa kuwa askofu na Papa Fransisko tarehe 29 Aprili 2023. Kabla ya kuteuliwa kuwa Askofu wa Kasana-Luweero, Monseigneur Lawrence Mukasa aliwahi kuwa kiongozi wa Jimbo Katoliki la Kiyinda-Mityana, pia nchini Uganda. [1]
Marejeo
hariri- ↑ Dan Wandera (29 Aprili 2023). "Pope appoints Mukasa new bishop for Kasana–Luweero diocese". Daily Monitor. Kampala, Uganda. Iliwekwa mnamo 30 Aprili 2023.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |