Layli Goobalay
Layli Goobalay ni mchezo wa mankala kutoka Somalia. Mchezo mwingine wa mankala unaopendwa sana na Waswahili ni Bao.
Kanuni
haririWachezaji wanaanza na mbegu nne kwa shimo
Mchezaji A | :: | :: | :: | :: | :: | :: | | Nyumba B |--------|--------|--------|--------|--------|--------| Nyumba A | | :: | :: | :: | :: | :: | :: | | Mchezaji B
Mchezaji mmoja anachagua shimo upande wake ambalo lina mbegu. Anatoa mbegu, halafu anaziweka kwa shimo kwa upande wa kulia, lakini mbegu haziwekwa kwa nyumba. Mchezaji A ataanza
Mchezaji A | .:: | .:: | | :: | :: | :: | | Nyumba B |--------|--------|--------|--------|--------|--------| Nyumba A | | .:: | .:: | :: | :: | :: | :: | | Mchezaji B
Mbegu ya mwisho iko kwa upande wa mchezaji mwingine, kwa hivyo mchezaji B ancheza sasa.
Mchezaji A | .:: | .:: | | :: | :: | | | Nyumba B |--------|--------|--------|--------|--------|--------| Nyumba A | | | ::: | .:: | .:: | .:: | ::.:: | | Mchezaji B
Mchezaji B amekamata mbegu za mchezaji A, kwa sababu mbegu ya mwisho iko kwa upande wake, na shimo la mwisho si Uur na shimo upande ingine ya mchezaji A ina mbegu tofauti 3.
Mchezaji A | .:: | .:: | | :: | :: | | | Nyumba B |--------|--------|--------|--------|--------|--------| Nyumba A | | | ::: | .:: | .:: | .:: | :: | ::. | Mchezaji B
Halafu, Mchezaji B anaendelea
Mchezaji A | .:: | .:: | . | .:: | .:: | . | | Nyumba B |--------|--------|--------|--------|--------|--------| Nyumba A | ::. | | ::: | .:: | .:: | .:: | | | Mchezaji B
Mbegu ya mwisho iko kwa upande wa mchezaji mwingine, kwa hivyo mchezaji A anacheza sasa.
Mchezaji A | .:: | ::: | | .:: | .:: | . | | Nyumba B |--------|--------|--------|--------|--------|--------| Nyumba A | ::. | | ::: | .:: | .:: | .:: | | | Mchezaji B
Mchezaji A amekamata mbegu
Mchezaji A | .:: | ::: | | .:: | .:: | . | | Nyumba B |--------|--------|--------|--------|--------|--------| Nyumba A | ::. | | | .:: | .:: | .:: | | ::: | Mchezaji B
Mchezaji A anaendelea
Mchezaji A | ::: | | | .:: | .:: | . | | Nyumba B |--------|--------|--------|--------|--------|--------| Nyumba A | ::. | . | . | ::: | ::: | ::: | | ::: | Mchezaji B
Mbegu ya mwisho iko kwa upande wa mchezaji mwingine, kwa hivyo mchezaji B anacheza sasa.
Mchezaji A | ::: | . | . | ::: | ::: | : | | Nyumba B |--------|--------|--------|--------|--------|--------| Nyumba A | ::. | . | . | ::: | ::: | | . | ::: | Mchezaji B
Mbegu ya mwisho iko kwa upande wa mchezaji mwingine, kwa hivyo mchezaji A anacheza sasa.
Mchezaji A | ::: | . | . | .::: | .::: | | | Nyumba B |--------|--------|--------|--------|--------|--------| Nyumba A | ::. | . | . | ::: | ::: | | . | ::: | Mchezaji B
Mchezaji A amekamata mbegu
Mchezaji A | ::: | . | . | ::: | .::: | | | Nyumba B |--------|--------|--------|--------|--------|--------| Nyumba A | ::. | . | . | ::: | | | . | ::::::. | Mchezaji B
Mchezaji A anaendelea
Mchezaji A | .::: | : | : | | .::: | | | Nyumba B |--------|--------|--------|--------|--------|--------| Nyumba A | ::. | : | : | .::: | | | . | ::::::. | Mchezaji B
Mbegu ya mwisho iko kwa shimo ya upande wa mchezaji mwingine. Kwa hivyo, mchaezaji
A amemaliza, na mchezaji B anacheza
Mchezaji A | .::: | : | : | | .::: | | | Nyumba B |--------|--------|--------|--------|--------|--------| Nyumba A | ::. | | .: | :::: | | | . | ::::::. | Mchezaji B
Mchezaji B anakamata mbegu
Mchezaji A | .::: | : | | | .::: | | | Nyumba B |--------|--------|--------|--------|--------|--------| Nyumba A | :::: | | .: | .::: | | | . | ::::::. | Mchezaji B
Mchezaji B anaendelea
Mchezaji A | .::: | : | . | . | :::: | . | | Nyumba B |--------|--------|--------|--------|--------|--------| Nyumba A | :::: | | .: | | . | . | : | ::::::. | Mchezaji B
Mbegu ya mwisho iko kwa shimo ya upande wa mchezaji mwingine. Kwa hivyo, mchaezaji B amemaliza, ma Mchezaji A anacheza
Mchezaji A | :::: | .: | : | : | | . | | Nyumba B |--------|--------|--------|--------|--------|--------| Nyumba A | :::: | . | :: | . | : | . | : | ::::::. | Mchezaji B
Mbegu ya mwisho iko kwa shimo ya upande wa mchezaji mwingine. Kwa hivyo, Mchaezaji A amemaliza, ma Mchezaji B anacheza
Mchezaji A | :::: | .: | : | : | | . | | Nyumba B |--------|--------|--------|--------|--------|--------| Nyumba A | :::: | . | | : | :. | : | .: | ::::::. | Mchezaji B
Mchezaji B amekamata mbegu
Mchezaji A | :::: | .: | : | : | | | | Nyumba B |--------|--------|--------|--------|--------|--------| Nyumba A | ::::: | . | | : | :. | : | : | ::::::. | Mchezaji B
Mchezaji B anaendelea
Mchezaji A | :::: | .: | : | : | . | . | | Nyumba B |--------|--------|--------|--------|--------|--------| Nyumba A | ::::: | . | | : | :. | : | | ::::::. | Mchezaji B
Mbegu ya mwisho iko kwa shimo ya upande wa mchezaji mwingine. Kwa hivyo, mchaezaji
B amemaliza, ma mchezaji A anacheza
Mchezaji A | :::: | .: | : | : | : | | | Nyumba B |--------|--------|--------|--------|--------|--------| Nyumba A | ::::: | . | | : | :. | : | | ::::::. | Mchezaji B
Mchezaji A amekamata mbegu
Mchezaji A | :::: | .: | : | : | . | | | Nyumba B |--------|--------|--------|--------|--------|--------| Nyumba A | ::::: | . | | : | :. | | | :::::::: | Mchezaji B
Mchezaji A anaendelea
Mchezaji A | :::: | .: | : | :. | | | | Nyumba B |--------|--------|--------|--------|--------|--------| Nyumba A | ::::: | . | | : | :. | | | :::::::: | Mchezaji B
Shimo upande mwingine ya mwisho la shimo la mwisho, ina mbegu tatu. Kwa hivyo mchezaji A amekamata hizo shimo na zote mbili ni Uur. Mchezaji hawezi kukamata au kutoa mbegu kutoka shimo iko Uur.
Mchezaji A | :::: | .: | : | :: A| | | | Nyumba B |--------|--------|--------|--------|--------|--------| Nyumba A | ::::: | . | | : | : A | | | :::::::: | Mchezaji B
Mchezaji B anacheza sasa.
Mchezaji A | :::: | .: | : | :: A| | | | Nyumba B |--------|--------|--------|--------|--------|--------| Nyumba A | ::::: | | . | : | : A| | | :::::::: | Mchezaji B
Shimo upande mwingine ya mwisho la shimo la mwisho, ina mbegu tatu. Kwa hivyo mchezaji
B amekamata hizo shimo na zote mbili ni Uur.
Mchezaji A | :::: | : B| : | :: A| | | | Nyumba B |--------|--------|--------|--------|--------|--------| Nyumba A | ::::: | | : B| : | : A| | | :::::::: | Mchezaji B
Mchezaji A anacheza sasa
Mchezaji A | | : B| : | :: A| . | . | | Nyumba B |--------|--------|--------|--------|--------|--------| Nyumba A | ::::: | . | .: B| .: | .: A| . | . | :::::::: | Mchezaji B
Mchezaji A amekamata mbegu, na amemaliza kwa sababu hakuna mbegu ingine kwa shimo la mwisho ya kuendelea. Mchezaji B anacheza
Mchezaji A | | : B| : | :: A| | . | | Nyumba B |--------|--------|--------|--------|--------|--------| Nyumba A | ::::: | . | .: B| | :: A| . | : | ::::::::.| Mchezaji B
Mchezaji B amekamata mbegu
Mchezaji A | | : B| : | :: A| | | | Nyumba B |--------|--------|--------|--------|--------|--------| Nyumba A | :::::: | . | .: B| | :: A| . | . | ::::::::.| Mchezaji B
Mchezaji B anaendelea
Mchezaji A | | : B| : | :: A| | . | | Nyumba B |--------|--------|--------|--------|--------|--------| Nyumba A | :::::: | . | .: B| | :: A| . | | ::::::::.| Mchezaji B
Shimo la mwisho iko kwa upande wa mchezji mwingine, kwa hivyo mchezaji B amemaliza,
na mchezaji A anacheza
Mchezaji A | | : B| : | :: A| . | | | Nyumba B |--------|--------|--------|--------|--------|--------| Nyumba A | :::::: | . | .: B| | :: A| . | | ::::::::.| Mchezaji B
Mchezaji A, amekamata mbegu
Mchezaji A | | : B| : | :: A| | | : | Nyumba B |--------|--------|--------|--------|--------|--------| Nyumba A | :::::: | . | .: B| | :: A| | | :::::::::| Mchezaji B
Hakuna mbegu ingine kwa shimo la mwisho. Kwa hivyo, mchezaji B anacheza
Mchezaji A | | : B| : | :: A| | | : | Nyumba B |--------|--------|--------|--------|--------|--------| Nyumba A | :::::: | | :: B| | :: A| | | :::::::::| Mchezaji B
Mbegu la mwisho imeingia shimo iko Uur, kwa hivyo, mchezaji A anacheza
Mchezaji A | . | .: B| | :: A| | | : | Nyumba B |--------|--------|--------|--------|--------|--------| Nyumba A | :::::: | | :: B| | :: A| | | :::::::::| Mchezaji B
Shimo upande ya shimo la mwisho haina mbegu. Kwa hivyo, mchezaji A, amemaliza. mchezaji B hawezi kucheza, kwa hivyo mchezo umemaliza. Mbegu ziko kwa Uur na kwa upande wa wachezaji zinawekwa nyumbani
Mchezaji A :::: | | B| | A| | | ::::: | Nyumba B |--------|--------|--------|--------|--------|--------| Nyumba A | :::::: | | B| | A| | | :::::::::| Mchezaji B
Tunaona mchezaji B ana mbegu 20 na mchezaji A ana mbegu 28. Kwa hivyo mchezaji
A ameshinda, ana mbegu mingi zaidi kuliko mchezaji B.