Leipzig ni mji wa Saksonia nchini Ujerumani. Iko kando ya mto Saale. Idadi ya wakazi wake ni takriban 518,000. Mji ulianzishwa 1015.

Leipzig

Nembo

Lua error in Module:Location_map at line 510: Unable to find the specified location map definition: "Module:Location map/data/Ujerumani" does not exist.Mahali pa mji wa Leipzig katika Ujerumani

Majiranukta: 51°20′0″N 12°22′0″E / 51.33333°N 12.36667°E / 51.33333; 12.36667
Nchi Ujerumani
Jimbo Saksonia
Idadi ya wakazi
 - 518.000
Tovuti: www.leipzig.de
Chuo Kikuu cha Leipzig

Tazama piaEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Leipzig kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.