Lena
(Elekezwa kutoka Lena (mto))
Lena (Kirusi: Лена) ni mto wa Urusi. Urefu wake ni 4400 km.Iko katika mkoa wa Yakutia na Irkutsk Oblast.
Mdomo | Bahari ya Laptev |
Nchi | Urusi |
Urefu | 4,400 km |
Mkondo | 16,350 m³/s |
Eneo la beseni | 2,490,000 km² |
Miji mikubwa kando lake | Yakutsk |
Inaishia kwenye Bahari ya Laptev ambayo ni sehemu ya Bahari Aktiki.