Leo H. Bartemeier
Leo Henry Bartemeier (Septemba 12, 1895 – Oktoba 9, 1982) alikuwa tabibu, mtaalamu wa magonjwa ya akili, na mwalimu wa Marekani. Alikuwa Rais wa Chama cha Magonjwa ya Akili cha Marekani (American Psychiatric Association).
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Leo H. Bartemeier kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |