Leonard Abrams
Leonard Abrams (19 Desemba 1954 – 1 Aprili 2023) alikuwa mwandishi wa habari wa Marekani na mwanzilishi wa East Village Eye, jarida maarufu la utamaduni na sanaa.[1]
Marejeo
hariri- ↑ Williams, Alex. "Leonard Abrams, 68, Chronicler of 1980s East Village Art Boom, Dies", The New York Times, April 13, 2023.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Leonard Abrams kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |