Leontopolis ulikuwa ni mji wa kale sana ulipatikana Nile Delta, misri ya chini. Ilikuwa ni kama mji mkuu na eneo kuu la kidini kwa maaskofu. Mahali pa kiakiolojia na makazi yanajulikana leo kama Kafr Al Muqdam.

Jina hariri

Kwa kipindi hujulikana sana na wasomi na watu kutoka sehemu tofauti tofauti kwa jina la kigiriki la Leontopolis [1](ama jiji la simba). Pia eneo hili huweza kujulikana na wamisri kama Taremu (mji wa samaki).

Historia hariri

Mji huu unapatikana katikati mwa sehemu kuu ya Nile delta. Ilikuwa ni makao makuu ya 11 ya misri ya chini na ngome ya eneo la kifarao.

Marejeo hariri

  1. "Strabo", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-05-28, iliwekwa mnamo 2022-06-11