Leopold matrix
Leopold matrix ni tathmini ya athari za mazingira kwa ubora iliyotengenezwa mwaka 1971 na Luna Leopold kwa ushirikiano wa USGS. Inatumika kutambua na kuipa thamani ya namba athari za mazingira kwa miradi iliowasilishwa ya mazingira. Ilikuja kama jibu kwa National Environmental Policy Act ya mwaka 1969 ambayo ilikosolewa kwa kutotoa muongozo wenye tija kwa ajili ya mawakala wa serikali kuhusu namna sahihi ya kutabiri athari za mazingira na uuandaji wa ripoti za athari[1].
Marejeo
hariri- ↑ Leopold, Luna Bergere; Clarke, Frank Eldridge; Hanshaw, Bruce B.; Balsley, James R. (1971). "A procedure for evaluating environmental impact".
{{cite journal}}
: Cite journal requires|journal=
(help)
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |