Leopoldo III wa Austria

(Elekezwa kutoka Leopoldo Mtawa)

Leopoldo III wa Austria (kwa Kijerumani: Luitpold; maarufu kama Leopoldo Mtawa; Melk, 1073Klosterneuburg, 15 Novemba 1136), alikuwa mfalme mdogo wa Austria tangu mwaka 1095 hadi kifo chake.

Mt. Leopoldo III alivyochorwa.

Anakumbukwa kwa kuleta maendeleo nchini na hasa kwa kujenga monasteri nyingi. Mwaka 1125 alikataa kugombea cheo cha kaisari wa Ujerumani

Alitangazwa na Papa Inosenti VIII kuwa mtakatifu tarehe 6 Januari 1485.

Sikukuu yake ni tarehe 15 Novemba[1][2].

Angalia pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Martyrologium Romanum
  2. Lingelbach 1913, pp. 90–91.

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.